Aliye kuwa waziri mkuu na mgombeq urais kwa tiketi ya chadema mh edward lowasa amesema tumwache raisi
akiongea na wana habari lowasa alisema raisi anafagia pesa za watanzania lakini tusi muhukumu kwa sasa kwa kuwa anamuda wa kujilekebisha na kufanya yatakayo wafuraisha watanzania
alisema kipindi anaanza alianza vizuri ila sasa kuna vitu anashindwa kuviweka sawa na kusema ni makosa ya kibinadamu.tu ya nayo weza kurekebishika hivyo tusimuhukumu kwa sasa tumwache
pia lowasa amesema anandoto bado ya kuja kuiikoa tanzania kwakuwa anatamani bado aje kuwa raisi anatumai 2020 kugombea tena endapo atapata nafasi na uzima
LOWASA ASEMA TUMWACHE RAISI TUMUHUKUMU BAADAE
By -
June 04, 2017
0
Tags: