mshambuliaji wa fc barcelona lionel messi kasema hafikilii kuondoka klabuni hapo
messi kase hajafikilia kuondoka katika timu hiyo ambayo ameichezea maisha yake yoote ya soka tangu akiwa mdogo kabisa
mess mwenye umri wa miaka 29 ameichezea timu hiyo tangu akiwa na umri wa miaka 13 alijiunga na timu ya watoto na baadae kujiunga na wakubwa
klabu hiyo ndyo iliyo mtoa argentina na kumleta pale kipindi hicho alikuwa ma tatizo la kuto kukuwa walimuhudumia mpaka amekuwa messi anae onekana saizi.
MESS KUSALIA BARCELONA MPAKA KUSTAAFU
By -
June 09, 20170 minute read
0
Tags: