Aliye kuwa mgombea uraisi kwa mwamvuli wa katiba ya wananchi UKAWA lowasa awajibu wanao mtuhumu
lowasa kasema kuhusu gwanda za chadema yeye alipitia jeshini na alivaa saana gwanda hivyo basi saizi kazeeka acha apumzike kuvaa gwanda
pia kasema watanzania wamuhukumu kwa matendo na siyo mavazi kwakuwa wangapi huvaa mavazi ya chama fulani lakini wao ni wakeleketwa wa chama kingine?
pia wapo walio sema kuwa anafanya hivyo makusudi ili apate kura pia za wana ccm alijibu huku akicheka akasema hana wazo hilo na wana ccm kma wataamua kumfuata watamfuata tuu ata kma akivaa sare za chadema
lowasa alilazimika kujibu masuala haya kwakuwa watu wamekuwa wakiiza na kujadili saana kuhusiana na yeye kuto vaa sare kila mala
LOWASA AWAJIBU WANAO MTUHUMU KUTO VAA SARE ZA CHADEMA
By -
June 02, 2017
0
Tags: