Polisi.mkoani singida inamshikili binti mariam juma miaka 21 kwa tuhuma za kuchoma nyumba moto
akiongea na waandishi wa habari kamanda wa polisi ACP.Deborah magiligimba alisema tukio tukio hilo lilitokea may 30 majira ya 11:40 jion nyumbani alipo panga bernado mabula ambae anaishi nyumba ya omary hamisi binti huyo alikuja na kuwasha moto akiwa na wazo la kuwasha vitu vya huyo mpenzi wake na akajikuta amewasha na nyumba
mkuu wa polisi amesema mtuhumiwa wamemkamata na uchunguzi wa awali unaonesha kuwa chanzo ni wivu wa mapenzi huku upelelezi zaidi ukiendelea
ACHOMA NYUMBA MOTO KISA WIVU WA MAPENZI
By -
June 01, 2017
0
Tags: