watu zaidi ya hamsini wanaofiwa kufa nchini libya baada ya kutokea mapigano kusini mwa libya
msemaji wa kundi.moja nchini humo amesema kuna kundi.lijiitwaro third force lilivamia uwanja wandege mapema jana
tangu kuuawa kwa ghadafi kumekuwa na makundi mengi yenye siraha ambayo kila mmoja anapambana kwa masrai yake
pia sku kadhaa nyuma wanamgambo wa dola ya kiislam nao waliwauwa raia ladhaa ambao walikuwa ni wakristu
watu zaidi ya 50 wafariki libya
By -
May 18, 2017
0
Tags: