washukiwa watatu wa ujambazi wauawa mkoani mwanza huku wengine wakifanikiwa kutoroka baada ya majibizano ya risasi na polisi
kamanda wa polisi mkoani mwanza amesema majambazi hao walikuwa njia wakielekea waliko.kuwa wana kwenda kufanya uharifu ndipo polisi wakawasimamisha lakini wakakaidi ndipo wakaanza kutupiana risasi na askari
katika majibizano hayo majambazi watatu walifariki hapo hapo huku wawili wakifanikiwa kukimbia ambapo mkuu wa polisi kasema wamekamata bunduki moja na risasi mbili
washukiwa ujambazi wauawa mwanza
By -
May 19, 20170 minute read
0
Tags: