mamlaka ya hari ya hewa imetoa angarizo la kuwepo kwa upepo mkali maeneo ya pwani
mamlaka imesema kutakuwa na upepo mkali katika miji ya dar es salaam,tanga pamoja na unguja na pemba
hivyo basi wakazi wa maeneo hayo wanatakiwa kuchukuwa tahadhali kutokana na hali hiyo hasa kwa wavuvi na hali hii inatarajiwa mpaka kesho tare 31
Post a Comment
0Comments
3/related/default