wizara ya afya zanzibar yapiga marufuku uuzaji wa vyakula barabarani
hatua iyo imekuja baada ya kutokea kwa mvua kubwa ambayo imepelekea kulipuka kwa ugonjwa wa kipindupindu ambao husababishwa na uchafu
hatua yakupiga marufuku imekuja ili kupambana na ugonjwa huo usienee kwa watu wengi zaidi visiwani humo