baada ya kifo cha msanii maarufu kma dogo.mfaume msanii duly ametoa pore kwa wafiwa kupatwa na msiba huo
mfaume alifariki akikaribia.kwenda kufanyiwa upasuaji wa uvimbe kwenye ubongo ambao ulimsumbua kwa muda mrefu
mpaka sasa dully pekee kati ya wasanii walio toa pole kufuatia msiba huo huku wasanii wengi wakiwa kimya
duly sykes atoa pole msiba wa dogo mfaume
By -
May 19, 2017
0
Tags: