mahrez ameiambia timu hiyo kuwa anatamani kuondoka klabuni hapo baada ya kukaa kwa muda
mahrez aliisaidia timu hiyo kuchukuwa ubingwa na yeye kuwa mchezaji bora wa mwaka 2016 huki timi hiyo ikichukuwa ubingwa kwa mara ya kwanza
mchezaji huyo amekuwa akiwindwa na baadhi ya timu kama napol ya ufaransa