AFUNGIWA KUCHEZA FRENCH OPEN BAADA YA KUMBUSU MWANDISHI

Admin
By -
0

f
mchezaji mmoja wa tenis wa ufaransa Maxime afungiwa kucheza french open baada ya kujaribu kumbusu mwandishi wa habari

mvhezaji huyo alifanya tukio hilo wakati wa mahojiano na waandishi wa habari ambapo alijaribu kumbusu ingawa mwenyew alikataa

kutokana na tukio hilo mchezaji huyo amefungiwa hato cheza mashindano ya jayo kwakuonesha utovu wa nizamu


Tags:

Post a Comment

0Comments

Post a Comment (0)