mwaname mmoja nchini marekani anapatiwa matibabu baada ya kuumwa na nyoka wakati akimbusu
tukio ilo limetokea katika mji wa frolida nchini marekani ambapo mwanaume huyo alikuwa akimbusu nyoka ghafla nyoka akamuuma
mpaka sasa haliyake inaenderea vizuri ingawa alikuwa na hari mbaya baada ya kung'atwa na nyoka huyo
mwanaume huyo amekuwa na tabia ya kupenda kucheza na nyoka lakini mara hii ilikuwa bahati mbaya aka ng'atwa
ang'atwa nanyoka akijaribu kumbusu
By -
May 18, 2017
0
Tags: