Header Ads Widget

MWIJAKU AMPA ONYO HAJI MANARA


 KupitIa Page take ya Instagram MWIJAKU kampa ONYO msemaji wa timu ya wananchi tanga Haji MANARA kuhusu kujirekodi video za faragha ambapo kaniambia akijirekodi basi ajue mange kimambi atamsambaza Kwa kila Mtu hiyo imekuja baada ya mange kimambi kupitia app Yake kuvujisha video za mastaa wengi wa bongo akiwemo gigy money hivi majuzi




Post a Comment

0 Comments