
Shilikisho la mpira wa miguu barani afrika imetangaza kuifutia uanachama wa CAF kisiwa cha zanzibar
zanzibar ilitambuliwa rasmi na CAF kama mwanachama halali wa chama au shilikisho hilo la mpira wa miguu barani africa
kwa mujibu wa taarifa taratibu za kuipa uanachama Zanzibar haukifuata vigezo na mashart ya upewaji wa uamachama
sababu kubwa ya kufutiwa uanachama nikwakuwa zanzibar bado ni sehemu ya nchi ya Tanzania ambayo ni meanachama wa CAF
hatua hii imewashtua saana wazanzibar kwakuwa walisha jijua kuwa wao ni wanachama na walianza kujenga timu yao ya taifa
Tags
Michezo