taarifa ya kifo cha efrem kibonde wa clouds


Mganga Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Dr. Thomas Rutachunzibwa katika taarifa yake, amesema Mtangazaji wa Clouds Ephraim Kibonde alifariki akiwa njiani kuhamishiwa Hospitali ya Rufaa ya Kanda Bugando Mwanza akitokea Hospitali ya Uhuru.


Post a Comment

Previous Post Next Post