Baada ya kuhamia kwenye nyumba hiyo ndipo mazoea ya kawaida yakawa yameanza kati ya Mimi na dada wa chumba cha pili ambae anaitwa Salma ni mfanyakazi saluni
Baada ya kuzoeana ikiwa imepita miezi kama minne hivi ndipo salma akaanza vituko akawa ananitumia SMS za mapenzi akiona nipo bize sijamjibu anatuma SMS nyingine anasema samahani iyo SMS rafiki yangu amekosea
Ukawa ndiyo mchezo wake wa kila mala ukizingatia Mtoto kaumbika na umbo lake LA kisingida alikuwa ananichanganya lakini Mimi nilikuwa najitahidi kujifanya nipo bize huku natamani
Siku zilivyozidi kwenda akabuni njia nyingine ya kunitega akawa akiniona nimekaa nje anaenda uwani kuoga alafu anakuja kusugulia miguu nje huku akiwa amevaa khanga ambayo na maji ya kuoga inakuwa imemkamata mwilini
Hapo ndipo ujasili ukawa unanishinda kila Siku zinavyozidi kwenda maana vituko vilikuwa vingi kwa mwanaume rijali kama mimi ikawa ngumu kuvumilia
Ikawa imepita yapata miezi miwili akabuni njia nyingine ukaniambia kuwa TV yake imeharibika anaomba aje aangalie ndani kwangu
Kwakuwa ni mpangaji mwenzangu nikashindwa kumkatalia nikamjibu "usihofu salma ukihitaji tu niambie Mimi sina tatizo"
INAENDELEA...