Ikaanza safari ya kwenda ambako atakutana na watanzania ambao wataweza kumpa msaada akiwa ametanguzana na yule mkenya aliye kutana nae kwenye kituo cha basi
Baada ya kutembea mwendo wa kama nusu saa kwa mguu yule mkenya akamwambia Steve "nisubiri hapa napenda kununua vocha nimpigie jamaaa atufuate"
Yule mkenya alipoaga anaenda kununua vocha huku Steve akiwa anamsubili yule mkenya akawa ameenda jumla hakuweza kurudi tena Steve akasubili saana akajikuta amebaki njia panda asijue wapi pa kwenda
Baada ya muda wa kama saa zima akatokea mtu mmoja akamuuliza Steve "why are you here?" Steve akamjibu "I'm waiting for my friend" yule mtu akamuuliza tena "where are you coming from?" Steve akamjibu iam from Tanzania "
Yule mtu akamuuliza kwa kiswahili kumbe na yeye ni mtanzania akamuuliza rafiki yako ni nani? Steven akajibu ni RAIA mmoja wa Kenya aliniambia atanileta kwa watanzania watanipa msaada Mimi sina ndugu nimekuja kutafuta maisha
Yule mtu akacheka saana akamwambia huyo mkenya alishindwa kukwambia kuwa ameshakuleta kwa watanzania wenzako ni pamoja na Mimi
Baada ya hapo akamwambia karibu dogo hii ndiyo Afrika kusini Kwani umeshaibiwa? Steve akauliza kuibiwa nini?akamjibu huku mgeni mala nyingi lazma aibiwe kama hujaibiwa una bahati...
Yula mtanzania akamchukuwa Steven mpaka nyumbani kwake maeneo ya FOX STREET akampatia chakula na kumwambia karibu dogo hapa ndiyo ghetto utaishi hapa kwa sasa
Baada ya kumaliza kula akamuuliza Steve umeamua kuja huku umejipangaje..? Steve akauliza kujipanga kivipi? Akamjibu yaani una ujuzi wowote..? Steve akamjibu Mimi ni fundi magari mzuri nikipata kazi unafanya
Yule mtanzania akamjibu Steve hongera umekuja huku una fani itakusaidia Mimi nilikuja huku sikuwa na fani nikaishia kuuza madawa ya kulevya na mpaka sasa nauza ila sitamani na wewe uingie huku ntakupeleka
INAENDELEA...