Mtoto akiri kuidukua kampuni ya Apple



Kijana mmoja wa mika 16 nchini Australia akili baada ya kuidukua kampuni kubwa duniani ya Apple

Kijana Huyo kutoka katika mji wa Marbole nchini humo alifanikiwa kuiba baadhi ya taarifa za watumiaji wa Apple baada ya kufanya udukuzi Huo
Kijana Huyo alikili kufanya hivyo akisema imekuwa ndoto yake kufanya kazi na kampuni hiyo


Polisi walivamia nyumbani kwa kijana Huyo na kufanikiwa kupata komputa mbili na kijana Huyo kakamatwa na atapandishwa kizimbani

#bbcswahili


Post a Comment

Previous Post Next Post