Manchester united yawakataa Barcelona

Uongozi wa klabu ya Manchester united ya nchini uingereza yakataa of a kutoka timu ya Barcelona baada ya time hiyo kuhitaji kumsajili kiungo wao Paul pogba

Uongozi umesema bado unahitaji huduma ya mchezaji Huyo na hawajajipanga kumuuza kokote

Barcelona wamekuwa wakimwinda Pogba ambae amekuwa na mahusiano mabovu na kocha wake Josee mourinho

#thesun

Mtazame Mtoto ambae amefanya ubunifu wa hajabu

Post a Comment

Previous Post Next Post