Kocha wa timu ya taifa ya Tanzania Taifa Stars Emanuel Amunike ametangaza majina ya wachezaji 25 ambao wataingia kambini Jumatatu August 27 kujiandaa na mchezo dhidi ya Uganda Septembe 8, 2018 kuwania kufuzu fainali za AFCON 2019.
Magolikipa
Aishi Manula-Simba-Tanzania
Mohammed Adbulrahman-JKU-Zanzibar
Benno Kakolanya-Yanga-Tanzania
Mabeki
Shomari Kapombe -Simba-Tanzania
Hassan Kessy-Nkana FC-Zambia
Gadiel Michael-Yanga-Tanzania
Kevin Yondani-Yanga-Tanzania
Abdi Banda-Baroko FC-Afrika Kusini
Aggrey Morris-Azam FC-Tanzania
Andrew Vicent-Yanga-Tanzania
Erasto Nyoni-Simba-Tanzania
Viungo wakabaji
Himid Mao-Petrojet-Misri
Mudathir Yahya-Azam FC-Tanzania
Jonas Mkude-Simba-Tanzania
Viungo washambuliaji
Simon Msuva-Al Jadida-Morocco
Shiza Ramadhani-Simba-Tanzania
Rashid Mandawa-DBF-Botswana
Hassan Dilunga-Simba-Tanzania
Feisal Salum-Yanga-Tanzania
Farid Mussa-Tenerife-Hispania
Washambuliaji
Mbwana Samatta-KRC Genk-Ubelgiji
Thomasi Ulimwengu-Al Hilal-Sudan
Shaaban Idd-Tenerife-Hispania
Yahya Zayd-Azam-Tanzania
John Bocco-Simba-Tanzania
Kocha mkuu
Emmanuel Amunike-Nigeria
Hemed Morocco-Tanzania
Tags
Michezo