ben paul asema hakuwa mtupu

baada ya kusambaa picha ya ben paul.akiwa mtupu reo ben paul akanusha

ben paul amesema ile picha hakuwa mtupu bali alipiga pich akiwa na nguo ila waliediti

ben paul alisema kwenye interview na EATV katika fridaynight huku akisema hajutii picha zile kwakuwa hakuwa mtupu na hakuwa na lengo baya

Post a Comment

Previous Post Next Post