POLISI SITA WAUAWA KWENYE SHAMBULIO

Askari polisi 6 wauawa katika shambulizi lililotekelezwa  Helmand  na wanamgambo wa Taliban .
Askari 6 wauawa na wanamagmbo wa kundi la kigaidi katika shambulizi Helmand  kusini mwa Afghanistan.

Kundi la wanamgambo wa Taliban limetangaza kuwa askari polisi 15 ndio waliouawa  katika shambulizi hilo.


Post a Comment

Previous Post Next Post