UKWELI KUHUSU NABII TITTO

Siku za karibuni kumekuwa na stori nyingi kuhusu huyu anae jiita nabii Titto ambae amekuwa maarufu kupita kiasi

lakini ukweli ni kwamba titto haja anza leo huu mtindo wake wa kuhubiri maana alianza zaidi ya miaka saba iliyopita lakini hakupata umaarufu kama ilivyo sasa 

tazama video hii hapa chini umwone na umsikilize akijieleza kuhusu yeye


Post a Comment

Previous Post Next Post