KIAMBU, KENYA: Jeshi la Polisi linamshikilia Mwanaume mmoja aliyewaua Watoto wake wawil 2 na yeye kunywa sumu ambayo haikumuua.
Watoto hao waliouawa mmoja alikuwa na miaka 7 na mwingine miaka 3
Inadaiwa kuwa siku moja kabla ya Sherehe ya Christmas familia hiyo ilisafiri hadi Narumoru ambako Mama wa Watoto hao alibakia huko kwasababu ambazo hazijajulikana.
TAZAMA HAPA MWIMBA KWAYA WA AJABU KUTOKA KENYA

Tags
Kimataifa