Mapema leo hasubui mwana dada ambaea alikuwa mstari wa mbele kuitetea chadema na upinzani kwa ujumla kupitia mitandao ya jamii Mange Kimambi atangaza kuacha kufanya kampeni zake
kupitia ukurasa wake alisema amechoka kuwatetea watu ambao hawapo sirious na siasa wakati yeye anatumia nguvu nyingi ikiwemo kuhatarisha maisha yake
na akamaliza kwa kusema kuanzia leo ameacha siasa na ukurasa wake wa instagram anaufuta na kweli baada ya muda mchache ukurasa wake wenye jina la @mangekimambi_ umepotea hewani mpaka muda huu haupatikani tena
SWAHIBA BLOG na SWAHIBA TV tunaendelea kufuatilia yanayo jili tutaleta taarifa zaidi.

Tags
Siasa