Mshambuliaji Mrundi wa Timu ya Simba SC na Timu ya Taifa ya Burundi, Laudit Mavugo amesema ni kweli timu ya AFC Leopards ya kutoka nchini Kenya imeonyesha ari ya kutaka kumsaini na kuwa yupo tayari kuhamia nchini Kenya.
Akizungumza na SWAHIBA BLOG Mavugo amesema baadhibya viongozi wa AFC ambayo ni mojawapo ya klabu Kongwe nchini Kenya wameongea naye japo sio kwa njia rasmi.
Mavugo ambaye hatma yake Simba haijjulikana amesema kuwa AFC walikuwa tayari kumsaini endapo taratibu zote zipo sawa.
Hata hivyo amesema kuna tatizo moja kwa kuwa hajaachiwa rasmi na Simba ambao walitaka kumtoa kwa mkopo wa miezi sita AFC wakati yeye akisema ingekuwa bora kama Simba wangemuachia huru asajiliwe na AFC leopards ili kumpatia nafasi kujijenga kisoka.
Aidha Mavugo ambaye alijiunga na Simba SC akitokea klabu ya Vital O ya Burundi anatarajiwa kurejea Jijini Dar es Salaam kwa mazungumzo zaidi na Simba ili kufanikisha dili hiyo.
TAZAMA HAPA JINSI YA KUPATA INTERNET,SMS NA DAKIKA BURE KWA LINE YOYOTE

Tags
Michezo