WATU 14 WAFARIKI WAKIGOMBANIA CHAKULA

Admin
By -
0
Serikali ya mfalme wa Morocco  Mohammed VI imefahamisha kugharamia mazishi na matibabu ya watu waliofariki katika mkanyagano uliotokea katika mgao wa chakula  katika kijiji cha Sidi Boulaum nchini Morocco.

Taarifa hiyo ilitolewa na ofisi za wizara ya mambo ya ndani nchini Morocco.

Watu wengine watatno walijeruhiwa katika mkanyagano hupo.

Watu milioni 4,2 nchini Morocco wanaishi katika umaskini.
Tags:

Post a Comment

0Comments

Post a Comment (0)