Jeshi la polisi mkoani shinyanga lasibitisha kuokotwa kwa mifupa ya binadamu katika bwawa mkoani shinyanga na wananchi waliokuwa wakitafuta maji
mkuu wa polisi Simon haule amesema watu walikuwa wakitafuta maji kunako bwawa ndipo wakakutana na mifupa hiyoya binadamu na hatimae kwenda kutoa taarifa katika kituo cha polisi
kamanda Simon amesema miongoni mwa vilivyo okotwa ni pamoja na fuvu la kichwa,taya ya binadamu mbavu pia wamekuta na mfupa wa paja mikono na bega
amesema jeshi lake limeanza uchunguzi kubaini mifupa hiyo ni ya nani na kwanini ilikuwepo pale ambapo amehaidi kuja na taarifa kamili.

Tags
Kitaifa