UWANJA MPYA WA CHELSEA NDYO UWANJA WA BEI KALI ZAIDI ULAYA

Admin
By -
0
Awali ilielezwa kuwa Uwanja mpya wa Stamford Bridge unaomilikuwa na Chelsea utakuwa na thamani ya pauni million 500.

Lakini hata baada ya mmliki wa Chelsea, Roman Abramovich kumaliza kuzungumza na kampuni ya Kichina, ikaonekana ni fedha hiyo.

Baadaye mazungumzo ya kuongeza vitu kadhaa yalifanya ufikie pauni million 8000.

Lakini kwa mara nyingine jana imeelezwa thamani yake itakuwa hadi pauni billion moja na kuufanya uwanja huo pindi utakapokamilika kuwa ndiyo uwanja ghali zaidi barani Ulaya.

Kwa sasa, Stamford Bridge ni moja ya viwanja ambavyo si vizuri sana lakini vinaingia kwenye list ya moja ya viwanja vyenye hadhi kwa England na Ulaya.

   


Tags:

Post a Comment

0Comments

Post a Comment (0)