Header Ads Widget

SERIKALI YAKANUSHA UTEUZI WA WAKUU WA WILAYA

Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, imekanusha taarifa ya Uteuzi wa Wakuu wa Wilaya inayosambazwa mitandaoni. Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Ikulu, Gerson Msigwa amesema kuwa taarifa hii ni ya uongo hivyo ipuuzwe imetengenezwa na wahalifu.

Post a Comment

0 Comments