MSIBA WASABABISHA KESI YA WEMA KUHAIRISHWA

Admin
By -
0
Wema Sepetu (mbele) akifuatiwa na mama yake, wakiwasili Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu katika moja ya matukio ya kusikilizwa kesi dhidi yake.

KESI inayomkabili msanii wa filamu nchini, Wema Sepetu, kuhusiana na madawa ya kulevya imeahirishwa hadi Desemba 14 mwaka huu kutokana na msanii huyu kufiwa na ndugu yake. Hata hivyo, mama yake alifika mahakamani hapo.

Kesi hiyo inasikilizwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu.




Post a Comment

0Comments

Post a Comment (0)