
Mahakama nchini Afrika Kusuni imemuongezea Oscar Pristorius kifungo cha miaka 13 jela na miezi sita kwa kosa kumua Mpenzi wake Reeva Steenkamp.
Hukumu hiyo ya Mkimbiaji maarufu wa Olimpiki ni mara mbili ya miaka ya hukumu aliopewa awali.
Kwa mjibu wa Shirika la Habari la Afrika Kusini lijulikanalo News 24,Waendesha Mashtaka wamesema wamesema kuwa miaka sita ya awali aliohukumiwa hapo awali kwa mauji ya mpenzi wake ni michache saana hiyo aongeweze zaidi
Mahakama Kuu ya Rufaa umeamkua kwa kauli moja kumuongezea kifungo mpaka miaka 15 lakini itaanza kuhesebiwa kwa ile ya awali aliotumikia amesema Jaji Legoabe Willie Seriti
Lakini Oscar mwenyewe anasema kuwa hakudhamiria kumua mpenzi wake huyo bafuni akidhani kuwa alikuwa mwizi
Awali Jaji wa mahakama Kuu ya North Gauteng Bw.Thokozile Masipa alimhumu Pristorius kifungo cha nyumbani cha miaka mitano jela mwaka 2014
Mkimbiaji huyo wa Olimpiki afanya mauaji hayo ya mpenzi waka Reeva Steenkamp mwaka 2013 sku ya Valentine
Oscar Pritoriusa mwenye ulemavu wa miguu hakuepo mahakama wakati hukumu hiyo ikitolelewa.