Taarifa ya sasa ni kwamba Mkurugenzi Mtendaji wa zamani wa Benki ya Rasilimali Tanzania (TIB), Peter Noni na Wakili maarufu wa kujitegemea Dr. Ringo Tenga wamefikishwa katika Mahakama hiyo ya Hakimu Mkazi Kisutu wakikabiliwa na kesi ya uhujumu uchumi.
Taarifa zaidi zitakufikia hivi punde andelea kukaa karibu na.SWAHIBA BLOG.