BREAKING NEWS:STUDIO ZA CLOUDS ZINA UNGUA MOTO MUDA HUU.

Sehemu ya jengo la kituo cha Chouds Media Group linaungua moto muda huu. Juhudi za kuuzima moto huo bado zinaendelea.

Post a Comment

Previous Post Next Post