Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Novemba 29, 2017 amefanya ziara ya kushtukiza katika bandari ya Dar es salaam na kubaini malori 44, yaliyokuwa yakitaka kutolewa bandarini hapo bila ya kufuata utaratibu.Malori hayo ni ya kampuni ya Nas.
Taarifa tutawataarifu hiv punde
Tags
Kitaifa