MBOWE AMPONGEZA RAISI MAGUFURI

Kiongozi wa kambi rasmi ya upinzani bungeni Freeman mbowe ampongeza raisi magufuri

Mbowe ampongeza raisi magufuri kwa kutenganisha wizara ya nishati na madini kuwa wizara tofauti

amesema kwa kipindi kirefu wamekuwa wakililia bungeni kuwa wizara hizo zitenganishwe kutokana na ukubwa wake hasa wizara ya madini

amesema anashukuru saizi serikali imewasikiliza kwa kuwa waliitaji mabadiliko haya tangu zamani lakini hawa kusikilizwa

kikubwa ni kutenganisha wizara hizo na siyo swala la nani atakuwa waziri kwenye wizara hii nyeti ya madini alisema mbowe..

Post a Comment

Previous Post Next Post