Chama cha demokrasia na maendeleo chadema wamjibu mkuu wa polisi nchini IGP Simon sirro
chadema kupitia naibu katibu Salum mwalimu wamesema hawako tayari kukaa kimya kama jeshi la polisi lilivyo sema
salumu amesema harufu ya kuto heshimu katiba ilianza pale walipo kataza mikutano ya kisiasa nchini
amesema chadema ni chama kikuu cha upinzani na kazi yao kuu ni kukosoa na hawata acha kukosoa ingawa kuna vitisho vya hapa na pale
salum amesema kuhusu lissu pia ata ongea na wata ongea kwakuwa ni haki yao kikatiba kujadili hasa kuhusu tukio la ndugu yao ambae anatibiwa sasa yaani Tundu lissu
hatua hii imekuja baada ya IGP Simon sirro kupiga marufuku mijadara kuhusu tukio la kushambuliwa Tundu lissu

Tags
Siasa