Jeshi la polisi mkoani Arusha lasibitisha kutokea kwa vifo vya watoto watatu baada ya kulipukiwa na pomu
tukio hilo limetokea katika wilaya ya monduli ambapo watoto watatu waliokuwa wakichunga ng'ombe kulipukiwa na bomu
watoto hao walikuwa wakichezea bomu hilo wakizani ni mpira wa miguu
jeshi la polisi limesema eneo hilo huwa linafanyiwa mazoezi na jeshi na wamehaidi kutoa taarifa kamili
Tags
Kitaifa