AMUUWA BAADA YA KUMKUTA AKIZINI NA MKE WAKE

Mwanaume mmoja ambae ni fundi viatu amuua mwanaume mwingine aliye mkuta akijamiiana na mke wake

tukio hili limetokea katika maeneo ya mandewa mkoani singida

katika tukio hilo mtuhumiwa alimchoma kifu mwanaume aliye fahamika kwa jina la.Idd selemanu umri miaka 40 baada ya kumkuta chumbani kwake na mke wake

kamanda wa polisi mkoani singida alisibitisha kutokea kwa tukio hilo

alisema kwajinsi mazingila yanavyo onesha ni kwamba mtuhumiwa alipata taarifa kutoka kwa majirani na kufanya uviziaji ambapo alifanikiwa kumkuta marehemu akiwa na mke wake

kwa mujibu wa taarifa kutoka kwa mwenye kiti wa mtaa anasema walisikia sauti za mtu akiomba msaada wa kuamulia ugomvi ndipo wakafika nyumbani hapo na kumkuta marehemu amejeruhiwa vibaya na mwili wake unavuja damu

baada ya tukio walimchukua marehemu huku akiwa mzima kwaajili ya kumpeleka hospitali lakini kwa bahati mbaya akafariki baada ya kuwa amepoteza damu nyingi

Post a Comment

Previous Post Next Post