WALIO ANDAMANA KWAAJILI YA TUNDULISU WAKAMATWA SINGIDA

Jeshi la polisi limewakamata watu 11 baada ya kuandamana bila ya kibali

watu hao wamekamatwa wilayani Ikungi mkoani singida wakipanga kuandamana

mkuu wa wilaya ya Ikungi Miraji mtatura amesema watu hao wamekamatwa wakiwa na mabango wakishinikiza polisi kutoa tamko kuhusu kushambuliwa kwa Tundu lissu

amesema tukio la kushambuliwa halijatokea singida hivyo haina haja ya wao kufanya maandamano pia amesema wamewakamata kusudi watoe maelezo zaidi kuhusu kuandamana kwao

Post a Comment

Previous Post Next Post