BINTI WA MIAKA.20 ABAKWA MPAKA KUFA KINONDONI

Admin
By -
0

Binti mmoja mkazi wa madale wilayani kinondoni abakwa mpaka kufa

kwa mujibu wa maelezo ya baba yake alisema binti huyo kuwa walikuja vijana mida ya saa nne usiku wakiwa na pikipiki na kuongea na binti huyo wakiwa kama marafiki

baada ya muda binti huyo aliaga akisema anawasikindikiza vijana hao ambao ni marafiki zake

lakini baada ya kuwasindikiza hakurudi ndipo wakaamua kumtafuta na kuukuta mwili wake kwenye jalala akiwa amefariki

baada ya kufanyiwa uchunguzi akabainika kuwa alikuwa amebakwa mpaka kufa

jeshi na la polisi linaendelea na uchunguzi kuwabaini vijana walio fanya unyama huo wa kutisha

Tags:

Post a Comment

0Comments

Post a Comment (0)