WAKAMATWA BAADA YA KUWACHOMA MOTO WANAWAKE WANNE TABORA

Watu saba wanashikiliwa na polisi baada ya kuwachoma moto mpaka kufa wanawake wanne na kuwajeruhi wengine

katika tukio hilo lililotokea katika kijiji cha Mwambondo wilaya ya Uyui mkoani tabora wanawake wanne walichomwa moto mpaka kufa

akiongea na wanahabari mkuu wa wilaya alisema chanzo cha tukio hilo ni imani potofu za kishilikina

inasemekana baada ya kutokea kwa kifo cha Mafumba jirawa baadhi ya watu walimshikake wa marehemu wakimtuhumu kuhusika na kifo cha mume wake

baada ya kumkamata wakaenda nae polini ili wakamuhoji ili atoe maelezo ni akina nani alihusika nao

baada ya kupigwa saana mwanamke huyo akaamua kutaja hovyo majina ya majirani zake ili wamuachie

baada ya kutaja majina watu hao walienda kuwakamata wote waliotajwa na kuanza kuwasurubu huku waliwachoma moto sehemu zao za siri ili watoe maelezo

baada ya kuwachoma moto kwa muda mrefu hatimae wanawake wanne kati yao walipoteza maisha baada ya kuungua

pia mkuu wa wilaya aliwataja wanawake walio salimika kwenye mkasa huo kuwa ni
maria saha
Elizabeth kashindye
Mangwa utemwa
Rahel mkomangwa

pia mkuu wawilaya amewaagiza polisi kuwatafuta watuhumiwa wengine walio husika kwenye tukio hilo la kinyama ili wachukuliwe hatua

Post a Comment

Previous Post Next Post