TUNDU LISU APIGWA RISASI DODOMA

Admin
By -
0

Mbunge wa singida Tundu lisu amepigwa risasi leo mkoani dodoma

lisu amepigwa risasi akitoka bungeni akielekea nyumbani kwake mkoani dodoma

chadema imesema amepigwa risasi zaidi ya mbili na amepelekwa chumba cha upasuaji huku walio mpiga risasi wakiwa hawafahamiki

Tags:

Post a Comment

0Comments

Post a Comment (0)