Watu wapatao wanne wameuawa nchini kenya na wanamgambo wa alshabab
tukio hilo limetokea kwenye mji wa lamu uliopo pwani ya kenya
baadhi ya raia wameandamana wakuwatuhumu polusi kuchelewa kufika kutoa msaada kwenye eneo la tukio
matukio ya kuuuawa ni ya kila mala kwenye pwani ya kenya huku raia wakiishi bila ya amani kuhofia kuuawa