HomeKitaifa MTUHUMIWA WA KUTEKA WATOTO ARUSHA AUAWA NA POLISI BAADA YA KUJARIBU KUTOROKA byAdmin -September 07, 2017 0 Kijana samsoni petro alie shikwa kwa tuhuma za kuwateka watoto mkoani arusha apigwa risasi wakati akijaribu kutoroka kijana huyo wa miaka 18 alikamatwa mkoani geita alikojificha akiwa na mtoto ndani ya nyumba ya wageni Tags Kitaifa Facebook Twitter