MWANAMKE MGONJWA WA AKILI AJIFUNGUA MTOTO WA KIUME BARABARANI

Mama mmoja nchini Naijeria ambae ni mgonjwa wa akili ajifungua mtoto wa kiume

mama huyo ambae ni kichaa alikuwa na ujauzito kwa miezi kadhaa hatimae akajifungua wakati akitembea njiani

hakuwa akielewa kuhusu kujifungua lakini baada ya kupatwa na uchungu watu wakamsaidia na hatimae amejifungua mtoto wa kiume

mpaka sasa baba wa mtoto hajajulikana kwa kuwa mama huyo ni kichaa na inaaminika alibakwa

Post a Comment

Previous Post Next Post