Kamanda wa polisi mkoani mwanza amesibitisha kutokea kwa ajari ya gari la polisi mkoani mwanza
ilikuwa ni jana ambapo gari ndogo iliyokuwa ikiendeshwa na dereva wa kike iliigonga gari ya polisi aina ya toyota landcruser ambayo ilikuwa ikitokea mahakamani kuelekea gerezani butimba
kwenye gari hilo kulikuwa na mahabusu atari kwa mujibu wa kamanda Ahmed msangi pichani
alisema watu wengi wamekuwa hawapo makini hasa kwenye round about kama ambapo ajari hiyo ilipotokea kwenye mzunguko wa samaki mjini mwanza
pia amesema katika ajari hiyo hakuna vifo ila polisi mmoja na askari mmoja walipata majeraha machache
kamanda msangi amewataka wananchi kuwa makini wawapo barabarani ili kuepusha matatizo yasiyo ya ulazima yanayo weza jitokeza