MWANAFUNZI AJINYONGA BAADA YA KUTOLEWA NJE YA DARASA NA MWALIMU



Mwanafunzi mmoja wa kike wa miaka 12 ajinyonga nchini India baada ya mwalimu kumtoa darasani

mwalimu aliamua kumtoa darasani binti huyo baada ya kumwona akiwa na doa la damu kwenye nguo yake

mwanafunzi huyo alipatwa na hedhi wakati akiwa darasani

nchini india swala la hedhi halisemwi hadharani na mwanafunzi au mwanamke akiwa muda wa hedhi huonekana ni mchafu

binti huyo kabla ya kujinyonga akaacha ujumbe kuwa amejiua kwakuwa mwalimu wake alimfukuza darasani kwaajili ya kuwa na doa la damu kwenye nguo yake


Post a Comment

Previous Post Next Post