MAREKANI YAONESHA AINA YA UKUTA WATAKAO JENGA



Serikali ya marekani yaonesha haina ya ukuta watakao jenga kujitenga na maexico

ukuta huo utao ziba mpaka wote wa USA na Mexico kuzuia wahamiaji haramu wanao ingia marekani

kujenga ukuta huu ni mpango wa kwanza wa raisi wa marekani wakati wa kampeni zake za uraisi

ujenzi huo utagharimu zaidi ya dolla milioni na makampuni kadhaa ya nchini marekani yamesha pewa dhabuni  kujenga ukuta huo

ujenzi wa ukuta huo ni pilipili kwa baadhi ya raia wa nchi za amerika kusini ambao walitumia njia hiyo kuingia marekani na canada sasa itakuwa shida


Post a Comment

Previous Post Next Post