MCHEZAJI WA ZAMAN WA MAN UNITED AJIUNGA NA UBONDIA

Rio frednand mchezaji wa zamani wa MAN UNITED ambae alikuwa akicheza kama mlinzi wa mwisho ameamua kujiunga na ndondi

Frednand ambae alistafu kuichezea timu ya MAN UNIETD ya ENGLAND ametangaza kujiunga na masumbwi

amesema ameshinda mataji mengi saana kwenye mpila sasa ni muda muafaka wa kushinda mikanda

katika video fupi ameonekana akijifua kwenye masumbwi na anatarajia kupanda ulingoni kuzichapa

Rio amefuata nyayo za mchezaji wa cricket wa uingereza ambae baada ya kustaafu aliingia kwenye masumbwi na kushinda mechi kadhaa

watu wengi nchini uingereza wamekaa mkao wa kula kumshuhudia mchezaji huyo akipambana ulingoni

Post a Comment

Previous Post Next Post